Welcome

Alsam Tailoring

Upekee wa muonekano wako

Services

Huduma zetu

Design & Modelling (Tunabuni)

Tunabuni na kuunda nguo za mitindo yote yakisasa na inayoendana na wakati, kwa rika na jinsia zote

Tunashona

Tuna mafundi wa kisasa wanaoshona nguo kwa viwango vya hali ya juu kwa kuzingatia ubora na viwango. Pia tunashona PPE

Selling Clothes (Tunauza nguo)

Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa qui officia

Selling sewing Accessories

Pia Alsam Tailoring tunajihusisha na uuzaji wa vifaa vya ushonaji na vitambaa

Gallery

Alsam Products

Karibu sana Alsam Tailoring ujionee kazi za viwango na bidhaa bora zinazokuhakikishia upekee wako kutoka Alsam Tailoring

Go to GalleryProducts

Bidhaa zetu

Nguo za matukio

Tunashona nguo za matukio kama vile harusi, sendoff, kitchen Party,Graduations, Bridal shower, Birthdays n.k

Sare (Uniforms)

Tunapokea order za binafsi na mataasisi katika ushonaji wa Sare kama za maharusi, Kwaya, taasisi kama mashule, makampuni au vikundi mbalimbali vya wanajamii.

Nguo za Kawaida (Fashions Zote)

Pia Alsam tunapokea orders na tunashona nguo za aina zote na mitindo yote ya kisasa na yenye ubora wa hali ya juu

Nguo za kazi Maalum

Alsam Tailoring pia tunashona reflectors za Overall za kazi za aina zote kama zile za vikundi vya bodaboda, wafanyakazi wa viwandani n.k

Pendeza na Alsam

Kaa kijanja upendeze na Alsam. tunakuhakikishia upekee wa muonekano wako kwa nguo na mitindo yote ya kisasa

Contact us

Explore

Things you may like

Printing

Alsam Printing

Sewing Accesories

Alsam Accesories

Contact

Mawasiliano

Location:

Kigamboni, Dar es salaam

Call:

+255 679 116 802

Wasiliana nasi